Friday, August 31, 2012

Supu

Jamaa mmoja aliingia kwa Hoteli, akaagiza supu. muhudumu akampletea supu huku ametumbukiza kidole chake cha mkono.Yule mteja akakasirika na kumkaripia mhudumu:

MTEJA:Kwanini unatumbukiliza kidole chako kwenye supu yangu?

MHUDUMU:Niliambiwa na Daktari kidole changu kisipate baridi, kinahitaji joto.

MTEJA:Fck u, kwanini usikiweke hicho kidole kwenye mk**ndu wako.

MHUDUMU:Nilishakichomeka huko Kabla sijakiweka kwenye supu .

What a Coincidence Is...

* JESUS has 5 letters, but so does SATAN
* HATE has 4 letters, but so does LOVE.
* ENEMIES has 7, but so does FRIENDS.
* LYING has 5, but so does TRUTH.
* HURT has 4, but so does HEAL.
* NEGATIVE has 8, but so does POSITIVE.
* FAILURE has 7, but so does SUCCESS.
* UNDER has 5, but so does ABOVE
Is all this by coincidence?... In this life, you only have one choice.. choose wisely.

Wale wa Mbagala Inawahusu!

Hii imetokea Mbagala katika purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda amuulize ''bibi vipi mbona unalia tena'' yule bibi akamjibu ''aah we acha tu mjukuu wangu nipo hapa Mbagala kwa miaka 30 lakini sijawahi kupata siti kwenye daladala hata siku moja ndio leo nimebahatika konda akamjibu ''duuh pole bibi lakini hiyo siti uliyokalia ni ya dereva''

Soma

Inaburudisha sana pale unapoamka usiku unaangalia saa unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka kwenda kazini/shuleni/chuoni kufika.

Mbuyu Twitte jana mara baada ya kuwasili Dar