Siku moja tu baada ya mshambuliaji tegemezi wa arsenal Robin VanPersie kuhamia timu ya manchester united kwa euro mil 24 nae kiungo wa timu hiyo Alex Song amejiunga rasmi na timu ya Barcelona kwa uhamisho wa euro mil 19. Mchezaji anatarajiwa kufanya vipimo vya afya kesho na akifuzu atatambulishwa rasmi katika klabu hiyo tayari kwa kuanza kazi.
No comments:
Post a Comment