Friday, August 31, 2012

Wale wa Mbagala Inawahusu!

Hii imetokea Mbagala katika purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda amuulize ''bibi vipi mbona unalia tena'' yule bibi akamjibu ''aah we acha tu mjukuu wangu nipo hapa Mbagala kwa miaka 30 lakini sijawahi kupata siti kwenye daladala hata siku moja ndio leo nimebahatika konda akamjibu ''duuh pole bibi lakini hiyo siti uliyokalia ni ya dereva''

No comments:

Post a Comment