Jamaa
mmoja aliingia kwa Hoteli, akaagiza supu. muhudumu akampletea supu huku
ametumbukiza kidole chake cha mkono.Yule mteja akakasirika na
kumkaripia mhudumu:
MTEJA:Kwanini unatumbukiliza kidole chako kwenye supu yangu?
MHUDUMU:Niliambiwa na Daktari kidole changu kisipate baridi, kinahitaji joto.
MTEJA:Fck u, kwanini usikiweke hicho kidole kwenye mk**ndu wako.
MHUDUMU:Nilishakichomeka huko Kabla sijakiweka kwenye supu .
No comments:
Post a Comment