Tuesday, August 28, 2012

Cheka kidogo

Boti ilipokuwa inataka kuzama abiria wakakubaliana watupe mizgo yao baharini! Mzung akatupa compyuta akasema kwe2 zpo tele. Mchna akatupa box la sim akasema kwe2 zpo tele. Mhindi akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwe2 zpo kibao. Mmasai aka2pa shanga akasema kwe2 zpo nying. Mchaga akawa anahaha hajui cha ku2pa cos kila ki2 chake alikionea uchungu, ghafla akamsukuma mmasai akasema, Yesu na Maria hawa wapo tele Arusha.

No comments:

Post a Comment