katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.mtoto akakataa,mama akamwambia ''nyonya kama hutaki nampa anko anyonye'' anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama. Mtoto akanyonya kidogo akaacha.Mama akamtishia tena kumpa anko.Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''mama uwe na msimamo.Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa ...
No comments:
Post a Comment