Sunday, August 19, 2012

Eid Mubarak

Leo ni siku ya Eib Mubarak kwa waumini wote wa dini ya kiislam duniani baada ya kua katika mfungo wa Ramadhan kwa takribani siku 30. Nawatakia sikukuu njema ya Eid!

No comments:

Post a Comment