Rain is not only drops of water. It is the LOVE of sky 4 earth. They never meet each other but send LOVE this way. Enjoy the LOVE of nature.
Friday, August 24, 2012
Waandishi wa habari wa Nipashe Wametekwa na kufungwa Minyororo na Askofu Mukombo Boko Magengeni
Askofu MUkombo Muyodi ambaye amughushi jina na Kujiita Mulilege Mkombo amewateka Waandishi wawili Wa Nipashe na kuwapiga baada ya kuwafunga minyororo na kuwaburuza vibaya. Tukio hilo limetokea sasa hivi wameokolewa na sasa wapo kituo cha polisi Wazo Hill Tegeta!!!
Kazi hiyo imefanywa na kikundi cha Mabounce wakiwemo Wachungaji waliotokea Kongo na kujificha katika kanisa hilo eneo la Boko Magengeni!!!!!!!!!!!!
Waandishi hao walifika hapo kufuatia Mwaaliko wa mke mdogo wa Askofu Mkombo aitwaye Greener Sakajinga Paulini au Greener Mwamfupe au Greener Mwakabenga ambaye ni mfanyakazi wa Halmashauri Ilala Kwa nafasi ya Mwasibu anayetumia namba 0717655775, 07638182244 akisaidiwa na Mwaandishi wa gazeti la Nyakati aitwaye Jackson Malugu ambaye amepewa cheo hapo kanisani kwa Askofu Mkombo.
Mch Simbaya 0755 001111 ndiye aliyekuwa anasimamia zoezi hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment